Diamond Platnumz - Zilipendwa Lyrics






[Diamond Platnumz:]
Oooh hizo ni zama za kale
Oooh Sangulo na pepe kale
Zilipendwa

[Rayvanny:]
Eh! Kizamani,kutoa card na maua (zilipendwa)
Wanataka money ukilipa unakwarua (zilipendwa)
Ufundi kitandani,sio maguvu kujikwamua (zilipendwa)
Unafika ndani,hujatomasa unachanua (zilipendwa)
Wanawake wa leo wanataka mikakati
Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati (zilipendwa)
Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (zilipendwa)
Eeh! kupiga chabo getto (zilipendwa)
Mkono na dettol (zilipendwa)
Sunche na kapeto (zilipendwa)
Majay na Mobeto (zilipendwa)

[Diamond Platnumz:]
Oooh! Hizo ni zama za kale
Oooh! Sangulo na Pepe kale
Mmm boringo ndombolo (zilipendwa)
Twanga chipolopolo (zilipendwa)
Na maji ya kandoro (zilipendwa)
Simba wa Morogoro (zilipendwa)

[Rich Mavoko:]
Mtaani sipati sukari guru kabisa (zilipendwa)
Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latiffa (zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifa (zilipendwa)
Siku hizi party hatuendagi Ibiza (zilipendwa)
Mpira na Pele (zilipendwa)
Tanu na Nyerere (zilipendwa)
Asha Ngedere (zilipendwa)
Harusi mabele (zilipendwa)
Eeeti Uuze nyumba uweke heshima bar
Eeeti Ulazimishe aliyekukataa
Sabuni Kicherema (zilipendwa)
Mabanda ya Cinema (zilipendwa)
Lipumba na Mrema (zilipendwa)
Diamond na Wema (zilipendwa)

[Diamond Platnumz:]
Ooooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
Ooooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
Mmm Aggy na sogi dogg (zilipendwa)
Chanel analog (zilipendwa)
Movie za saibog (zilipendwa)
Van Damme Arnold (zilipendwa)

[Queen Darleen:]
Una nibeep nikupigie umeiweka vocha (haloo)
Ule wewe nilipe mie umeniona Loffa
Teena na madada wenye majina acheni visa
Unaitwa ukale dinner mnakwenda Tisa
Nywele za kichina (zilipendwa)
Pochi za kuazima (zilipendwa)
Zena na betina (zilipendwa)
Bashite gwajima (zilipendwa)

[Diamond Platnumz:]
Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
Mmm Amitabh Bachchan (zilipendwa)
Tv kwa jirani (zilipendwa)
Madee Rayvany (zilipendwa)
Zai Ivan (zilipendwa)

[Harmonize:]
Yanini kunichunguza naishi wapi (zilipendwa)
Nala,chapati kwa maini au makapi (zilipendwa)
Kutwa kunikalia chini unda kamati
Oh ya Rabi masikini kuni dhihaki
Ah Samba Mapangala (zilipendwa)
P Funk Kajala (zilipendwa)
Onyango na Jangala (zilipendwa)
Rufufu mkandala (zilipendwa)
Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli
Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli
Ah, Bongoman yondo (zilipendwa)
Sikinde Msondo (zilipendwa)
Magari ya Udongo (zilipendwa)
Babu wa Loliondo (zilipendwa)

[Diamond Platnumz:]
Ooooh hizo ni zama za kale (zilivumaga sana)
Ooooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
Ah Tv za kichogo (zilipendwa)
Wakina Man Dojo (zilipendwa)
Aggy na Iyobo (zilipendwa)
Akina Hatupogo (zilipendwa)

[Mbosso:]
Eti msiba ukiona Bundi unataka kupagawa
Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
Zuwena nitampata wapi (zilipendwa)
Zuwena wa zile nyakati eh (zilipendwa)
Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
Iddi Amini dada (zilipendwa)
Miuno ya H Baba (zilipendwa)
Domo Chai Jabba (zilipendwa)
Michezo ya kibaba baba (zilipendwa)

[Lava Lava:]
Wale wapiga madeal sasa hali mbaya (zilipendwa)
Hizi zama za Magufuli si za Jakaya (zilipendwa)
Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya (zilipendwa)
Vikatuni vya madenge baba ubaya (zilipendwa)
Muhogo mchungu Mr. Bean, wapi bambo (zilipendwa)
Wale wazamiaji wale wa melini wazee wa ng'ambo
Hivi yuko wapi Banjamini wa Mambo Jambo
Wa Vietnam waporini vita na Rambo
Eh ndanda Mjela jela (zilipendwa)
Kidali Kombolela (zilipendwa)
Max na Zembwela (zilipendwa)
Juma Nature na fela (zilipendwa)

[Diamond Platnumz:]
Ooooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
Ooooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
Mmm kamanda Daz Nunda (zilipendwa)
Kalumanzila Ndumba (zilipendwa)
Simu za Dole gumba (zilipendwa)
Johari na Kanumba (zilipendwa)

[Rayvanny:]
Wasafiiiii!

[Diamond Platnumz:]
Zilipendwa, zilipendwa
Zilipendwa, zilipendwa

[Harmonize:]
Ohleelileeee lelelilee
Zilipendwa





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Zilipendwa Comments
  1. N.... K....

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  2. E.... M....

    H baba utakonda sana,imebidi niungalue tena wimbo huu,mbona hujaimbwa vibaya,tena mwanao Diamond kajitahidi kweli.hata yeye mwanao Diamond kajiimba.acha njaa,DIAMOND KAZA UZI MAADUI WAMEONGEZEKA,LAKINI HATUWRZI TUNAKUPENDA MPAKA TUNAUMWA PIGA KAZI,DIAIBD BABA LAO

  3. A.... W....

    From Congo Kinshasa, watching 2020

  4. j.... m....

    aliyekuja hapa baada ya h mama tujuane

  5. J.... B....

    2020 woiiiiiiiiiiiiiiiii

  6. C.... A....

    2020 bado tuko kwa zilipendwa

  7. A.... V....

    Kama umeiangalia hii 2020 like plz. Tuende sawa.

  8. S.... H....

    Kama umeitzama hii ngoma 2020 gonga like twende sawa

  9. S.... J....

    ningekuwa na Maamuzi juu yenu msingetengana, mmependeza kuwa pamoja

  10. W.... C....

    Nani yuko na Mimi 2020 Gonga like tuwe p1.

  11. K.... W....

    *Who is here 2020 like me thumb up👍👍🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪*

    K.... W....

    Kevoh Wa Pipeline Transami 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  12. J.... C....

    2020 tuko hapa

  13. J.... C....

    Kama Umefaham #2019 ni zile zama zilipendwa! Sa hivi #2020 weka likes.....!

  14. A.... S....

    Who's here 2020

  15. J.... K....

    Diamond na Wema zilipendwa......hahaha

  16. J.... A....

    2020 still here

  17. M.... E....

    I loved this group..

  18. M.... M....

    Nani yko apa 2020

  19. Y.... M....

    GONGA LIKE KAMA BADO UNAITAZAMA 2020🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  20. S.... s....

    December 2019

  21. R.... G....

    Stil watching this 2019 and loving it

  22. M.... D....

    My wife didn't want me to play this song because the ex was playing this song and lucky dude but I am an African I can't stop it I love my African music I will let her go I stay with my African music

  23. S.... G....

    Naliona lisnitch limebeba fuko la rambo

  24. m.... m....

    I just love the vocals here

  25. N.... K....

    Yebooo 🕺🏾💃🏽🕺🏾🕺🏾love from🇿🇦🇿🇦 🇿🇦

  26. A.... K....

    I love this music so much even though I don’t understand a thing they’re saying, just the fact that it has all my favorite singers in it. One love ❤️ from the USA 🇺🇸.

    A.... K....

    Zilipendwa means lifestyle, Celebrities, fashions and things which was very popular long time ago but no more used or loved at this time. That is why you see the kind of clothes they wore, and you here that they mentioned some celebrities of long time ago like, Yondo Sister, Ndombolo Music etc. Many things and Stuff mentioned are those which popular in our local life but in shot that was the Theme of the Word Zilipendwa.

    A.... K....

    EDNA EXAUDI Thank you kindly 😘😘

  27. G.... H....

    Harmonize na mavoko zilipendwa

  28. I.... U....

    Kama bado utakua hpa 2020 tujuane kwa kugonga tu kalike, wakenya hoyeeeeeeee

    I.... U....

    Hoyeeeee

  29. H.... B....

    Hahaha nko hapa kufunga mwaka tarehe 24 ... Haya nipeni likes tulo sotee

  30. T.... C....

    Zilipendwaaaa

  31. F.... X....

    Wwwwww i I Love you

  32. S.... L....

    mavoko na harmo zilipendwaa

  33. L.... A....

    everytime when i am sad i just watch this song na najipata tu nacheka

  34. M.... M....

    Anyone here December 2019?

  35. M.... M....

    Nani anaangalia hii video ya zilipendwa December 2019

  36. f.... c....

    Huu wimbo ulikuwa dope

  37. J.... O....

    https://mdundo.com/song/1574780?fbclid=IwAR0Sp4UHs4SjRPwgWCvW8SoNqauUQz5AXVPK8vFN2QY8UDgr95ppTS1uFmM

  38. e.... b....

    I'm still watching it even at the moment

  39. T.... A....

    Wcb was looking amazing by then....it look good still...wcb for life

  40. c.... C....

    Tuko our colour our pride,utamu unazidi

  41. i.... g....

    Décembre 2019

  42. P.... T....

    kweli darling ndiye queen wa ukweli big love from kenya ( zangu lo mapepe kale🎼🎼🎼) kama unakubali queen weka like

  43. S.... S....

    Zilipendwa

  44. D.... F....

    *ETI MKIGOMBANA NA WIFE AKAKUSANYA VITU VYAKE AONDOKE, NI LAZIMA ACHUKUE NA HOUSE GIRL AU?*

    😁😁😁 2020

  45. K.... S....

    Wangapi wanaangalia hili 2019 mwezi12

  46. g.... m....

    Ya nini kunichunguza naishi papi!!!! Yap lyk it

  47. Y.... M....

    2019 tumekuja leo

  48. J.... N....

    Enjoying from himashal Pradesh India❤️❤️

  49. G.... M....

    Nzur xana I like

  50. o.... c....

    Harmonize na Dai zilipendwa 2019😂😂😂😂😂😂

    o.... c....

    😂😂😂

    o.... c....

    Umeuwaaa😀😀

  51. o.... c....

    Majey na Mobetto zilipendwa😅😅😅😂😂😂😂😂😂

  52. M.... A....

    kama umeangalia mwaka 2019 gonga like apa

  53. m.... a....

    Diamond na.zari.zilipendwa🤣

  54. K.... A....

    Kama umeianalia hii ngoma 2019 Nov angusha k apa

  55. R.... M....

    Oqiq wt wu wy e wy uq ta wt su ay wy qui it eey wj uq hqu6wu uquque et ywyquuu889 RSSwqureei ouqauaiiaoqu trae eei uwyw ywrwyquyu yuquqqqt eeey w wt yqyqu JW et wt wy wuwyw yae wy ueayy eyu u eqhayeeey quauq 8ewiey uqqyqyu ur_yy yayqt duh auyayuyuque wt uauq hay qiuqaaiau eei ajqyiaiauq two qiqi yui auja

  56. v.... v....

    I love this music ,which language is this ?from a Gambian

  57. D.... K....

    Harmoniz konde boy #zilipendwa
    decemba 3.2019

  58. l.... s....

    Nani yuko hapa décembre 2019🎶🎶

    l.... s....

    Lazima tukumbukeko

  59. f.... n....

    Dah kama unaamin kua jeshii aliua sambaza like akoo 2wende saawa#2019

  60. K.... O....

    KONDE BOY we miss you in WCB bro

  61. T.... G....

    We are almost getting to 2020 na bado narudi apa kwa hii ngoma tu, tuko wangapi jameni?

  62. a.... s....

    Ça veut dire quoi "zilipendwa" svp.

  63. Z.... A....

    dec 1 2019🙋‍♂️

  64. j.... k....

    Maisha yamekwenda kwa kasi sana aisee 2019 mambo yamekuwa tofauti sana

  65. N.... L....

    I watched this music video thousand times😍😍😍

  66. S.... M....

    dah zilipendwa 😂😂😂😂

  67. J.... T....

    I love the language... Oh sweet Africa 💖

  68. T.... J....

    🇺🇬❤

  69. C.... C....

    Natoka hapa kwenda kumtafuta Benjamin Mambo Jambo na Hard Mad...2019 Nov 28.

  70. a.... i....

    Me 2019 nov

  71. J.... M....

    Sportpesa na betin kenya zilipendwa. Kencel na zain zilipendwa nameless na k rupt na wa-who zilipendwa. Hahaha

  72. M.... B....

    Still enjoying the vibe November 2019😍😍😍

  73. V.... W....

    Dah nikisikia sauti ya harmonize najiona ndo mim

  74. m.... A....

    Who's watching in in November 2019🎼🎶🔉🎧😍😎

  75. D.... N....

    Still sweet

  76. x.... b....

    boys 👌👌👌🤘🙋‍♂️😍🤞

  77. d.... s....

    harmonizee wah....konde 2019 november hapa

  78. B.... P....

    Part ya mavoko ni moto.🔥🔥🔥🔥🔥

  79. m.... p....

    Kutombana

  80. S.... S....

    a rush a

  81. A.... L....

    Love you Diamond so much Love : )

  82. D.... R....

    Yani nmecheka uyo mboto alivomvizia rajabu

  83. T.... U....

    Noma sana hii ngoma

  84. M.... A....

    Imagine this song is still young,,,, send your conversation thru nikupashe yaliyomo, Kenya Tanzania,Uganda burundi,, [email protected]

  85. L.... K....

    Kanileta huku konde boy wpah

  86. m.... c....

    😁😀😀😀😀

  87. A.... M....

    Full fani vijana napenda sana kazi zenu na jinsi ambavyo mnashirikiana.

  88. L.... P....

    Wale wanaongalia hii ngoma mwaka 1993 gonga like apa

  89. A.... b....

    Nimemchungulia darleen nikaona kitu

  90. g.... t....

    J’adore

  91. A.... R....

    Am from Namibia 🇳🇦 I love this song 😍

  92. E.... k....

    Zilipendwa

  93. l.... g....

    Kama uko hapa 2020....piga like