Diamond Platnumz - Utanipenda Lyrics






Tanta lala laaa
Ooh la la la la laaaa
Mmmmh

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale
Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu
Ni mitusi tu kwa instagram
Kimwanaa si dada angu
Eti nae hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia
Ananifokea kama Sallam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga

Ooh nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Aaah
Ndio adui mkubwa wa kesho

La la la la la laaaaa
Au je utanipenda gaa?
La la la la laaa
Au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa
Ati utanipenda gaa ooh
Ooooh

Ooooooooh..
Bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamati
Utadiriki hata japo kunipost
Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mola ninusulu baba
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mamaangu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie Sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey
Na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga
Oh yeh yeh yeh
Navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya madem wa zamani
Yani he he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh
Ola la la lilaa ooh
I say...

Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa dangote
Ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena
Mambo yanyooke (he he heee)

Eiiii
Ola lala lilaa
Oooh baby
Tudd Thomas

Oooooh
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFI!





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Utanipenda Comments
  1. A.... M....

    2020 bado iko vzr

  2. R.... K....

    February 2020 still praying that the duo will reconcile. This was the best couple ever! Shetani ni mwongo aki. I know Diamond still loves Zari 😫😢

  3. B.... S....

    I watch this video whenever I go to YouTube,, thanks Diamond for this inspiration song,,,, but why did you dump her instead

  4. i.... s....

    Kama uyo mtanzania aliengalia hi ngoma gonga like apa

  5. L.... M....

    Eeeh this song🤣kweli rafiki wa leo ndo Adui wa kesho....Diamond with Zari today😭😭😭

  6. W.... T....

    Naipenda

  7. v.... s....

    Nani bado anaipenda hii ngoma...😍😍😍

  8. B.... B....

    Still together 2020 respect platnumz

  9. J.... K....

    nice one.. 🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸

  10. J.... G....

    Yani yote yaliyoimbwa kwenye ii nyimbo ndo yanayotokea sasa

  11. N.... Y....

    Awww Diamond 😊🥰🥰

  12. I.... C....

    Hii ngoma niliposkia Mara ya Kwanzaa nikashtuka nilijua Kweli😁😁😁

  13. P.... A....

    2020 tujuane

  14. A.... L....

    2020 wow

  15. J.... T....

    Kma bado inaangalia 2020 weka like tujuane

  16. V.... k....

    Who is with me in 2020

    V.... k....

    Vivia k Kali naukumbuke Ku subscriber channel yangu

  17. J.... I....

    2020🔥🔥

  18. G.... K....

    Dunia ina mambo sn unaweza kuamini latifa alikuwa roho yake lkn leo hata hamuongelei usiiamini sn hii dunia

  19. J.... J....

    Aki nani bado ako hapa hadi leo tarehe 22 January 2020, lykes zikam from +254

  20. R.... K....

    2020 gonga like

  21. R.... P....

    Nimemkumbuka harmonize leo baada ya hii...kweli diamond aliona mbali sana

  22. R.... P....

    2020 bado tupo tu

  23. j.... b....

    Km umeisikiliza 2020 gonga like twende sawa

  24. N.... S....

    I really don,t know what happen between him n his wife bt they really look good together i wish them get together again

  25. S.... L....

    2020 dupanda

  26. M.... D....

    Oh Lord very interesting Life lesson, Can somebody teach me Swahili that I can sing it for my Sandra too 😁😁
    🇬🇳🇬🇳 🇹🇿 🇹🇿 One love

  27. S.... M....

    2020 like kama zote ziende kama unaskiliza song hili 2020

  28. J.... M....

    Tupo baada ya interview ya mwana fa

  29. J.... M....

    Tupo hapaaa 2020

  30. E.... W....

    Zari, Harmonize washatimiza matarajio na mafans online mitusi washapeana. Sasa nani kabaki?

  31. M.... B....

    Wow very nice song beautiful i cant get enough of it am still watching it 2020 big up big up

  32. B.... K....

    Walio angalia na mimi 2020 walike apa 🤗🤗

  33. J.... T....

    2020 mupo tunaicheki hii tbt

  34. j.... m....

    2020, , bado tunadunda nayo

  35. F.... M....

    Kweli mond kiboko yao

  36. D.... M....

    Update: Zari alimwaga Diamond, Harmonize siku hizi ni Konde Boy alitoka Wasafi,


    Lakini Baba Lao bado anapata shows mambo si mabaya.


    Je, mtanipenda?

  37. P.... K....

    Wale wa 2020 Piga like

  38. B.... A....

    2020 tujuane

  39. M.... t....

    Nayosema yanamana aise atar

  40. S.... M....

    D ww unaimba vtu vilvyo tokea

  41. J.... T....

    zari kakumwga kwel

  42. d.... k....

    2020 bado twaisikiza

  43. N.... P....

    ewan kbs umusaza ukora neza

  44. P.... U....

    2020 mko wapi ......

  45. s.... s....

    Utabiri mzuri sana huu. Zari hayupo hata konde boy hayupo. Tusubiri tu uwapigie magoti ndo kimebakia

  46. E.... M....

    Simbaaaaaaa!!!

    E.... M....

    🔥🔥

  47. C.... F....

    Reality

  48. w.... j....

    Hit a like if u believe diamond is such a talented man

  49. N.... N....

    2020 yeyote??

  50. S.... A....

    Kama yupo anaeskiliza 2020 tujuane hapa..

  51. J.... S....

    Namagazeti yanyumbani kwakukosa habari siunajuaga,utasia Diamond kwa Zari amemwagwaa!! Hats Harmonize nikimpigia ananifokea kabla ya salamu!! Kweli wimbo huu ulibeba unabii na utabiri Wa kutosha!! Diamond anaona mbali sana!!

  52. m.... f....

    Nani amekuja kuchek huu wimbo baada ya harmonize kusepa na kusikia kuwa ma manager wa WCB(sallam sk,,mkubwa fella,,babutale) wamesepa WCB diamond Kama vile alitabiri😥😥😥

  53. F.... J....

    Vipi unaangalia 2020???? Like

  54. N.... J....

    Diamond hukutakiwa kuachana na Zari

  55. N.... J....

    Katika nyimbo Diamond alizoziimba nkapenda hii ni moja wapo 2020 bado naiangalia

  56. a.... o....

    2020 still listening 👂 🇸🇴💪

  57. S.... M....

    2020 gonga like hapa

  58. C.... W....

    Kama kuna MTU aliyerudi baada ya #harmonize kutoa dongo lake LA #hainistui
    👇👇👇👇

  59. S.... S....

    Jamaa alijitabiria kwa hwrmonize

  60. S.... A....

    2020😉

  61. P.... M....

    2020 stil hit...trust mi...Amin kwamba

  62. a.... l....

    2020 firstly 😮

  63. I.... L....

    ukisali omba san

  64. T.... A....

    Golden voice diamond

  65. T.... I....

    Dah saiv hormo kageuka na zari ka kwenda zake jamani 😢

  66. B.... H....

    Dec2019 still listen to this line gonga like kama upo pleaseeeeee

  67. e.... m....

    Elizete manuel

  68. P.... M....

    Diamond uu wimbo ni km umetabir mambo ambayo niyambele ambayo yatakupata mbelen kua makni wale wat wakarb washanza KUKUACHA zari amonis ,watoto kina tifa nilan kua makni broo

  69. s.... B....

    Mwaka 2020 wapi like zenu

  70. K.... D....

    Naona imekuja tukia kuhusu hilo la Harmonize..babu hivi wewe nabii?

  71. M.... M....

    Together 🎶🎵 2019_ 2020.

  72. A.... R....

    I just love this song like too much ❤️❤️

  73. j.... r....

    This makes Simba a great artiste from his ability to see the big picture! If you know you know! Team Wasafiiiii Kenya!

    j.... r....

    job rukwaro nice one naukumbuke Ku subscriber channel yangu

  74. R.... R....

    Simbaaa wewe bala ulitabiri kabisa mambo yatakayo tokea na tumeona mungu yupo 👏👏👏👏👏

  75. H.... S....

    jamaa katabiri kumwaga na ZARI na kumpoteza HARMONIZE

  76. T.... L....

    What a voice!😍

  77. F.... H....

    Ivi unaotaga we😀😀😀

  78. C.... M....

    Nimekuja tena kusiiliza kipande ambacho Diamond alimtabiria Harmonize 😆😆😆🤣😀

  79. B.... C....

    Zari amekubwaga, Harmonize do huyoo, Jamani mengine tuu yasije tosha hayoo. Lakini kwa Zari you lost a real gem, she is adorable

  80. R.... S....

    ZARI ASHAMUACHA DIAMOND NIKIANGALIA HII VIDEO ASHA MUAGA 2019. RAFIKI WA JANA NDIYO ADUI MKUBWA KESHO GONGA LIKE KAMA UNAKUBALIANA.

  81. R.... ....

    My best 🎤 singer

  82. S.... p....

    Power of the tongue!!!!

  83. s.... d....

    Kweli mambo yanabadirika maneno ya huu wimbo mengine yalishatimia na harm nae tayari kaondoka.

  84. K.... n....

    🔥song ever 20/12/2019

    K.... n....

    Khamisi nyandikila nice one naukumbuke Ku subscriber channel yangu

  85. S.... A....

    idont know kiswahili but av got the message, and idedicate thise song to you all my friends who doing such athing but tommorow you will cry when all your friends they avoiding you please stop it
    May God Bless you All Marry xmass and happy new yaer to you all

  86. F.... L....

    Huyu jamaa alijitabiria mwisho wake ! Zari na Harmonize washaonyesha kilichoimbwa humu 😂😂

  87. M.... T....

    Hata 2050 nitakua hapa tuu ❤️❤️❤️

  88. l.... q....

    From Kenya 20\12\2019gonga like kama unaamini atamrudia zari

  89. C.... M....

    This song hits the deepest part of my heart ♥ 2019 bado nipo kuiskiza

  90. B.... K....

    Diamond should be careful of what he sings.... seems everything he sings come to pass... look they are no longer working together with harmonize, all TZ musicians are up against him on Instagram as it’s depicted in this song

  91. O.... K....

    Baba lao mond

  92. S.... L....

    simba huwa anaimba vitu hlf badae vinatokea kwel dah😊

  93. F.... J....

    Anytime I watch this I feel like crying 😭 I really miss them together

  94. K.... E....

    Mond hiv kwann uliachana na zari

  95. s.... b....

    Nko hapa Dec 2019 prophet mwenyewe ...utabili wake usafikia

  96. V.... J....

    Mengine yametimia Harmonize na mama tee😂😂😂