Diamond Platnumz - Salome Lyrics






[Rayvanny:]
Kioo hakidanganyi mama
Umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu, vyote mwanana
Mimi suruali yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu?
Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo, shika magoti
Mimi nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo, sio roboti
Chumbani bingili bingili somersault

[Diamond Platnumz:]
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga, aaha
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe

Utamu kolea aprokoto
Ting'ali ting'ali ndani kwa moto
Nitamnyongea, msokoto
Niteme sumu kali kama kobokoo
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama, ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana, usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda
Ngenge ni nganganga

Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga, aaha
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe

[Rayvanny:]
Mie mwenzako nyang'anyang'a
Mie binzari we ndo nyanya
Baby kwangwaru
Isimamie kama kangaroo
Ibane kangwaru
Babu Juma mpige kwakwaru
Kwakwaru kwakwa

[Diamond Platnumz:]
Chambua kama karanga sasa
Chambua kama karanga
Ichambue kama karanga Salome
Chambua kama karanga
I say washa washa moto washa
Songa songa ugali songa songa
Mpaka chini mpaka chini

[Diamond Platnumz & Rayvanny:]
Wenye wivu wajinyonge leo
Wanye wivu wajiinyonge
Wenye wivu wajinyonge Salome
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge kweli
Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo) (wale kodo)
Ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
Ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Salome Comments