Diamond Platnumz - Nimpende Nani? Lyrics






Cha ah!
Nimpende nani?
Nimpende eeeh
Nimpende nani?
Nimpende aaah
Nimpende nani?
Nimpende eeeh
Nimpende nani?
Nimpende aaah

Tai!
We nilikuwaga na mupenzi akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
Isije siku miezi, naye akanisumbua
Ikawa tena kitenzi, mzigo kutua
Naogopa sana vichanga wa sasa
Kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaenda
We si unajua!
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpate
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani?

Cha ah!
Nimpende nani?
Nimpende eeeh
Nimpende nani?
Nimpende aaah
Nimpende nani?
Nimpende eeeh
Nimpende nani?
Nimpende aaah

Yasiwe kama ya Wema Sepetu
Kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu
Mjuzi kupeti-peti
Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira
Mpola kama Jokate
Ila sauti ka' Wema akiwa analia
Kicheko kama cha fetty
Naogopa sana vichanga wa sasa
Kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaenda
We si unajua!
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpate
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani?

Cha ah!
Nimpende nani?
Nimpende eeeh (eh eh eh)
Nimpende nani?
Nimpende aaah (oh nimpende nani?)
Nimpende nani? (mama ma)
Nimpende eeeh (eh eh eh)
Nimpende nani?
Nimpende aaah (mi nimpende nani?)

We nilikuwaga na mupenzi akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
We nilikuwaga na mupenzi akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Nimpende Nani? Comments
  1. L.... S....

    2020 nimpende nan jaman

  2. E.... J....

    Miss this Diamond

  3. d.... s....

    Hakuna wakupendeka siku hzi

  4. H.... S....

    Who listen In 2020 like me 😂

    H.... S....

    Happy Salva here bby

  5. W.... L....

    Apo ukweli u make me cry surely diamond platnumz mwaah dupe sana

  6. F.... A....

    Diamond more fire😊💃this song never need up todated🙌

  7. K.... m....

    Enzi hizo na wema

  8. K.... m....

    Enzi hizo na wema

  9. J.... P....

    2020 nimpende nan

  10. A.... A....

    who's here 2020🙄😨

    A.... A....

    Ntaachaje sasa😂😂😂tukitoswa tunakimbilia huku

  11. S.... M....

    🌹💐🌸

  12. G.... K....

    Anaeiangalia mwaka mpya 2020 tujuane

  13. D.... B....

    Nimpende nani, Nimpende eh
    Nimpende nani, Nimpende ah ah
    Nimpende nani, Nimpende eh
    Nimpende nani, Nimpende ah ah

    ...we nlikuaga na mupenzi, akanizingua
    Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
    isije siku miezi, naye akanisumbua
    ikawa tena kitenzi, mzigo kuutua

    Naogopa sana vichanga wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
    Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli, wakaniacha wakaenda
    We si unajua, wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
    wengi ni wajanja watoto wa mjini, wamejawa utapeli, Tamaa
    wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
    wengi ni wajanja watoto wa mjini, Nimpende nani?

    Nimpende nani, Nimpende eh
    Nimpende nani, Nimpende ah ah
    Nimpende nani, Nimpende eh
    Nimpende nani, Nimpende ah ah

    Yasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti
    Ajue nidhamu na mila ya kwetu, Mjuzi kupeti-peti
    Usimtake ka' Uwoya nimteme ana hasira, Mpole kama Jokate
    Ila sauti ka' Wema akiwa analia, kicheko kama cha fetty

    Naogopa sana vichanga wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
    Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli, wakaniacha wakaenda
    We si unajua, wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
    wengi ni wajanja watoto wa mjini, wamejawa utapeli, Tamaa
    wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
    wengi ni wajanja watoto wa mjini, Nimpende nani?

    Nimpende nani, Nimpendee eh
    Nimpende nani, Nimpende ah ah
    Nimpende nani, Nimpendee eh
    Nimpende nani, Nimpende ah ah

    we nlikuaga na mupenzi, akanizungua
    Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
    we nlikuaga na mupenzi, akanizungua
    Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua

  14. A.... A....

    Mondi uko juu

  15. I.... M....

    https://youtu.be/W59bi_0b9t4 jifunze mapishi

  16. M.... A....

    A boy from tandale

  17. L.... L....

    Kaliiiii

  18. R.... C....

    December ♥♥

  19. I.... B....

    4/12/2019___+naombe laiki zenu Kama tuenderea kusikiliza sote kwa mwaka huu

  20. A.... A....

    November 2019

  21. B.... A....

    Love your songs guy!!!

  22. F.... A....

    Nyota ya wema iling'aaaa kweli.

  23. T.... M....

    Enzi diamond alikuwa diamond... Before aanze kukanyagana na kukwangura... November 2019

  24. E.... M....

    November 2019 nimpende nani😭😭🇰🇪

  25. A.... J....

    Hii ngoma inanikumbusha mbali 😩😩😩 mapenzi ni bala

  26. J.... D....

    Still one of my favorite songs 🌺

  27. A.... M....

    14.10.2019

  28. A.... m....

    Mpende Tanasha wako....

  29. E.... C....

    10/10/19 🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘

  30. K.... N....

    October 6 2019 Sunday time 10:03 am #asma 💝💙

  31. J.... S....

    22:30=1/9/2019 nimpende mamaaa ntawaacha sana msije mkajipendekeza.

  32. b.... a....

    Diamond tu me berce le coeur.
    J'avoue que j'adore ta musique , ton style..... 💪

  33. B.... E....

    Nakukubali kinoma Chigudi Chigudei from Lubumbashi/DRC

  34. O.... B....

    Nikweri kabisa wazuri niwengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya dhati ndio balaa inauma sana

  35. T.... T....

    still listening to this massive hit in September 1st 2019

  36. s.... l....

    "Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda.....nika zama na kuma mapenzi yake akaniacha akaenda....."

  37. A.... H....

    Sitoacha kuwa shabiki yako....hata kama utafuliaaaaaa

    A.... H....

    Apana.chezea.mond.nakukubali.sana

  38. M.... M....

    2020 are you here

  39. S.... K....

    Nice song ila haodaulodikii inakeraaaaaaa

    S.... K....

    Danload vdmatw

  40. l.... b....

    "Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo bala" August 2019😪.

    l.... b....

    Yani balaa

    l.... b....

    Diamond plaknamz

    l.... b....

    December 23rd

  41. M.... O....

    8:52 6/8/2019

  42. U.... K....

    2019 whose here🙌🔥

    U.... K....

    Nko hapa ...umi kier

  43. N.... N....

    Nipende mimi😃

    N.... N....

    Nana Nana haaaaaa ww

  44. S.... B....

    Wameru ni wengi lakini kumpata mwenye mirungi mitamu ndo balaa💯💯

    S.... B....

    Hahaha, ata mimi bado kumpata

  45. h.... m....

    Nice 👍🏼

  46. k.... ....

    Much love from east Africa

  47. S.... A....

    Ulimuacha Jokate, binti mrembo

  48. S.... S....

    Hana moja dimond hpa Lakini nao hakika hawezi rukaa tena ovyoo njee ataenda Kwa mpango 😂

  49. S.... S....

    I'm giving this song 2017 wasafi

  50. S.... S....

    Update wasafi 😊💃👌

  51. S.... S....

    Jawabu mpende anae kupenda mjali anaae hushimuu 👍😊😘

  52. S.... S....

    Wazuri wanjaa hakika wazaliwa kila asbui maaa milons Kwa Roses za Chanukaaa I mean open millions billions jiioni wanjaa subhana Allah Lakini bahati kma yanguu hawana hawana Wazuri 😘😍👍

  53. S.... S....

    Yani ati kwl dimond 2012😊😂👌👍 mkali mzee ww

  54. S.... S....

    Hahaaaa I don't believe you 😉😂

  55. e.... m....

    When diamond was diamond

    e.... m....

    He is still dynamic going with the century 😊

  56. A.... H....

    I'm sorry for say

  57. A.... H....

    👍😂

  58. V.... H....

    I made a poster about u babe 💙

  59. V.... H....

    Babe Diamond I love u 💖

  60. A.... A....

    💃💃💃💃

  61. H.... M....

    I love this song

  62. H.... H....

    😍😍😍

  63. S.... A....

    Tanasha broo

  64. A.... J....

    Diamond platnumz one of the best singer in Africa an inspirational singer love u bro

  65. M.... O....

    ya good question for u coz wewe mwenyewe huna choice Mara wema, Zari, Sasa ni tanasha

  66. S.... P....

    Hii ngoma fanya remex

  67. D.... S....

    Unaweza kaka plutnumz endelea kukaza bado tunakukubali

  68. K.... N....

    07/03/2019 nakumbuka nilikuwa ifakara morogoro

  69. K.... N....

    07/03/2019 nakumbuka nilikuwa ifakara morogoro

  70. M.... T....

    Funny how time flies
    Was listening to this song 2012
    Now its 2019 and am still here

  71. P.... G....

    Wazuli ni wengi lakni kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa wengi wajanja wamejaa utapeli je nimpende nan...........?????

  72. E.... N....

    this song is so exotic for me

  73. Y.... b....

    2019????

  74. A.... M....

    Zari mpende🙌🙌2019👌👍

  75. h.... a....

    Much love from Kenya 100%

  76. S.... B....

    Waseeee nataka niambiwe ukweli hi nyimbo nani ilim maliza

    S.... B....

    Me apa imenifka rohon naipendaga atarer

  77. C.... B....

    Vitu hadimu

  78. A.... A....

    Kweli kweli diamond hapo ume ongea ukweli nimpende nani wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa

    A.... A....

    Ayan ayanabdi mzuri kama Mimi Niko hapa

  79. T.... A....

    hiii hapa youtu.be/ssmoXBEgt4s

  80. S.... A....

    Nice song😭

  81. W.... H....

    Mobetto

  82. F.... N....

    2018 24 8... 😧😧😧😧

  83. E.... N....

    Nomaa nice

  84. M.... A....

    Listening to this in 2018 October

  85. I.... k....

    October 2018 👍💟

  86. S.... D....

    Sorry😃💖💖💖💋

  87. b.... b....

    Penda mwenye pesa

  88. P.... S....

    2018 sijui mombeto ama zari?

  89. G.... s....

    Mpende Misa mobetto, she loves you soooo much💓

    Btw she is your perfect match💏

    G.... s....

    Georgina shi diamond he’s the first one 😁🤔

  90. M.... M....

    listening and watching right now 2018

    M.... M....

    Mikel Masanja mupende wema sepetu

  91. A.... K....

    Nice song.