Diamond Platnumz - Mapenzi Basi Lyrics






Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi sitaki
[x2]

Yalinifanya nikaugua
Mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Ah sikulala, sikulala
Oh maradhi nikaugua oh
Yakanichoma na kuungua roho
Kutwa nawaza na kuwazua
Sikulala

Hayo mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana, nikatukanwa
Lakini akanipiga teke
Ai haya mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nkagombana, usiku mchana
Yeye

Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi sitaki
[x2]

Oh nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwagia radhi
Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu
Yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa simba na panzi
Vurugu kwa majirani
Ah, ee Mola wangu

Hayo mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana, nikatukanwa
Lakini akanipiga teke
Ai haya mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nkagombana, usiku mchana
Yeye

Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi sitaki
[x2]





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Mapenzi Basi Comments
  1. J.... S....

    Bado new 2020

  2. E.... S....

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Yanauma sana navyosikiliza hii nyimbo natokwa na machozi

  3. M.... N....

    2020 from Singida still listening 😥

  4. a.... k....

    Ukweli mapenzi hayana maana

  5. J.... W....

    Mm pia nimesema basi

  6. J.... P....

    30/1/2020 mko wapi

  7. i.... p....

    2020🔥

  8. D.... M....

    2020 😇😇

  9. R.... M....

    Mapenzi mapenzi yanaleta uchizi sometimes upenda xna unaweza kuwa mwehu . I love you diamond 2020

  10. l.... e....

    Jamani #Mondi leo na search album yako

  11. M.... S....

    Kama unasikiliza ngoma hii mwak huu 2020 gonga like twende sawa.

  12. A.... A....

    Asnte sana simba 😭😭😭

  13. M.... M....

    😍😍😍😍😍😍

  14. a.... b....

    Bado Inaniliwaza😢😢😢who's here with me in 2020??

    a.... b....

    Mapenzi basi

    a.... b....

    Mapenz ctak

    a.... b....

    Mapenzi basi

  15. A.... K....

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍👍👍😂

  16. N.... m....

    Me in 2012,,, who else😜😜

  17. P.... P....

    Nice song for diamond love you

  18. R.... R....

    Waaa stress za mapenz zimenifanya nije nisikilize hii nyimbo,,najua kuna wengne mko kwa hii hali😢😢

  19. t.... t....

    Still 2019 am listening

  20. J.... A....

    I leave to diamond kwani wcb ndio 🏠

  21. Q.... R....

    Mapenzi sitaki mwenzenu dah like chini km n ww yalikufanya ukauguaa.

  22. J.... M....

    Hata Mimi mapenz basi

  23. D.... B....

    Nakukubalii simba

  24. R.... C....

    Who else watching in 2019? Love from state♥

  25. Y.... M....

    MZEE WA L.O.V.E
    KIMBIZA EAST AFRICA

  26. J.... S....

    Very nice

  27. K.... S....

    Nakubli sana wanangu simbaaaa

  28. S.... J....

    Mapenz Bas

  29. H.... A....

    Platnumz hujakosea hayo maneno

  30. M.... M....

    Mwenz mapenz bas sitaki ngoma kali

  31. A.... F....

    Dec 2019
    Anyone else😁❤

  32. J.... M....

    Namalizia Mwaka😎

  33. F.... K....

    25/11/2019 ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  34. F.... K....

    25/11/2019 ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  35. F.... K....

    Noma sana 2019

  36. h.... c....

    Diamond platnumz we mkali Sana bro

  37. R.... M....

    Nani anapenda simba kama mm... Yaani nyimbo haziishi kadha hata baada ya miaka mia#simbanakuamina💯

  38. C.... K....

    mapenzi basi,ukimwona,niache,kosa langu 🔥🔥🔥

  39. J.... T....

    Ngoma Kali sana

  40. V.... A....

    Enzi hzo ukiwa bdo Diamond,sio sa hv unadandia hadi michiriku....!!!!

  41. N.... A....

    Haya mapenzi bwana!! Anyone in 2019 ✋

  42. S.... D....

    ,vivaaaa

  43. B.... 2....

    Kama uko hapa 2019 gonga like

  44. s.... m....

    #mapenzi sitaki

  45. J.... H....

    😍😍😍Who's in 2019😪😪😪😪

  46. L.... S....

    Mapenzi hayana mana🥀🌻🌺i love this song

  47. L.... S....

    Basi mapenzi sitaki

  48. B.... W....

    October 2019

  49. M.... t....

    Nyimbo bora zaid nyenye kila utam aisee 2019 november

  50. M.... A....

    Keep it up D. 2019

  51. M.... A....

    Ebhana nyimbo hii haishi utamu yaan n balaaa 2pu.imebeba ujumbe amabao unaishi

  52. S.... M....

    Nipo naidikiliza adi leo

  53. V.... E....

    Duuuu mapenz n kumamaee
    Ctakiiiiiii

  54. Y.... A....

    My life is your lyrics diamond. 27/09/2019!

  55. H.... H....

    Basi basi mapenzi Sitka mpk leo 25/9/2019

    H.... H....

    Hadija Hassan daah kweliiiii💥💥💥👏

  56. j.... w....

    Lyrics please

  57. D.... N....

    kwangu mapenzi basiii😢😢😢

  58. M.... K....

    Mapenz yanaumiza Sana

  59. r.... d....

    tunao itazama mwaka huu 2019 mwishoni rujuene idadi hpa kw likes

  60. U.... Z....

    Nani mwengine yupo hadi sasa 2019!!!!!!!

  61. m.... s....

    Nakumbuka hii nyimbo ilinifanyaga nikapata demu mkali leo tareh 7/09 naisikiliza Tena Gonga like hapa

  62. S.... S....

    massive song simba

  63. H.... A....

    Diamond my man much love ooh 😍😍😍😍

  64. D.... M....

    Kweli yako diamond umesema hapo

  65. M.... C....

    Wenzangu na meme wa mwisho wa mwako wa 2019
    Gonga like Kama unaamini hii ngoma haiishiwi thaman hata cku moja

    M.... C....

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💝💝💝💝💝💝👌👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏

  66. j.... b....

    now this is hot music.

  67. J.... J....

    Yaan ad sas bad wimbo upo vile🙌🙌

  68. E.... D....

    Magnifique

  69. N.... N....

    Nassibu inaniuma sana nyimbo kali bado zipo audios

  70. Y.... P....

    do you like to listen this song say penzi I like you plaunmz 💝

  71. A.... B....

    wangap tume play mwez July 2019 tujuane

  72. C.... N....

    Fuck love!

  73. A.... F....

    Unajua sana

  74. M.... N....

    I love u

  75. R.... W....

    Diamond hunikumbusha mbali

  76. F.... a....

    Jamani hi mziki eme Ni engiya hasante ndugu

  77. N.... O....

    Subscribers 2 Million 💥💥💥💥

  78. B.... I....

    😭💔

  79. A.... W....

    Sauti kali

  80. A.... p....

    2019 Simbaaaa+254

  81. H.... F....

    Good música.

  82. w.... j....

    2019 naskliza mondi ludi kwenye haya malaza achana na hizo yegezi

    w.... j....

    Hizi za kibabe ndo maana mpinzani wake anachukua point

  83. I.... V....

    Ngoma yangu Kali mpka leo 2019

  84. H.... A....

    ❤😍😍😍😍🙋‍♀️

  85. T.... M....

    I listen in 2019

  86. M.... B....

    i want a ma africa passport <3

  87. e.... a....

    Kitu safiii

  88. M.... B....

    i dont know what to choose kenya or tanzania are there more swahili countries ?

  89. a.... m....

    mapenz yanauma saana moondy

  90. K.... I....

    *Kama unaskiliza ngoma hii mda huu gonga like*

    K.... I....

    Kaka MI huwa nakuelewa sn

  91. P.... N....

    Mgala muuwe haki yake mpe 🤗

  92. V.... O....

    Aiiii stakii

  93. m.... k....

    Whow is steel whatching like me in 2019

  94. e.... p....

    The only golden boy in bongo 88.9
    Wasaf

  95. M.... L....

    I really want to know the lyrics of this amazing song please

    M.... L....

    Minah Linah I thought I was alone